Ufafanuzi wa mbingu katika Kiswahili

mbingu

nominoPlural mbingu

  • 1

    anga ya juu.

    ‘Nyota zinaonekana juu mbinguni’
    falaki, anga

Matamshi

mbingu

/mbingu/