Ufafanuzi msingi wa mbio katika Kiswahili

: mbio1mbio2

mbio1

nomino

 • 1

  mwendo wa haraka au upesi.

  kasi

Matamshi

mbio

/mbijÉ”/

Ufafanuzi msingi wa mbio katika Kiswahili

: mbio1mbio2

mbio2

kielezi

 • 1

  kwa haraka.

  ‘Alikuja mbio’
  ‘Shughulikia sana’
  hima, upesi