Ufafanuzi wa mbiringani katika Kiswahili

mbiringani

nominoPlural mibiringani

  • 1

    mmea mdogo wenye majani mapana yenye miba, unaozaa matunda ya rangi ya zambarau yatumiwayo kuwa ni mboga.

Matamshi

mbiringani

/m biringani/