Ufafanuzi wa mbiu katika Kiswahili

mbiu

nominoPlural mbiu

  • 1

    pembe ya mnyama itumikayo kuwaita watu au kama ala ya kuchezea ngoma.

  • 2

    sauti itokayo kwenye pembe.

  • 3

    wito.

Matamshi

mbiu

/mbiju/