Ufafanuzi wa mbobojeko katika Kiswahili

mbobojeko

nominoPlural mibobojeko

  • 1

    namna asemavyo mtoto wa kati ya miezi mitatu na miezi sita hivi, anayejifunza lugha.

Matamshi

mbobojeko

/m bɔbɔjɛkɔ/