Ufafanuzi msingi wa mboga katika Kiswahili

: mboga1mboga2mboga3

mboga1

nominoPlural mboga, Plural miboga

 • 1

  mmea unaozaa maboga.

Ufafanuzi msingi wa mboga katika Kiswahili

: mboga1mboga2mboga3

mboga2

nominoPlural mboga, Plural miboga

 • 1

  majani yanayoliwa na binadamu, agh. baada ya kupikwa.

 • 2

  kitu k.v. nyama au maharage cha kutowelea chakula.

Ufafanuzi msingi wa mboga katika Kiswahili

: mboga1mboga2mboga3

mboga3

kivumishi

 • 1

  -siokuwa na nguvu.

  legevu

 • 2

  -siokuwa ngumu.

  rahisi

Matamshi

mboga

/mbɔga/