Ufafanuzi wa mbojo katika Kiswahili

mbojo

nominoPlural mbojo

  • 1

    mtu anayevaa ngozi ya simba ili aonekane kama simba na huua watu; simba mtu.

Matamshi

mbojo

/mbɔʄɔ/