Ufafanuzi wa mboleavunde katika Kiswahili

mboleavunde

nominoPlural mboleavunde

  • 1

    mbolea ya taka zilizooza zinazotumiwa kuongeza rutuba ardhini.

Matamshi

mboleavunde

/mbɔlɛjavundɛ/