Ufafanuzi msingi wa mboni katika Kiswahili

: mboni1mboni2

mboni1

nominoPlural mboni

  • 1

    sehemu ya ndani ya jicho yenye rangi tofautitofauti k.v. kijani, buluu, kijivu au kahawia inayozunguka kiini cha jicho na inafanya kazi ya kurekebisha mwanga.

    airisi

Ufafanuzi msingi wa mboni katika Kiswahili

: mboni1mboni2

mboni2

nominoPlural mboni

  • 1

    kitu cha tunu ambacho mtu hupata au hupewa.

    zawadi

Matamshi

mboni

/mbɔni/