Ufafanuzi msingi wa mboza katika Kiswahili

: mboza1mboza2

mboza1

nominoPlural miboza, Plural mboza

  • 1

    mti ambao wakati ukiwa mchanga magome yake hutengenezwa kamba.

    mgoza

Matamshi

mboza

/m bɔza/

Ufafanuzi msingi wa mboza katika Kiswahili

: mboza1mboza2

mboza2

nominoPlural miboza, Plural mboza

  • 1

    mdudu kama mbu au usubi ambaye hutengeneza asali na nta.

Matamshi

mboza

/mbɔza/