Ufafanuzi wa mbugi katika Kiswahili

mbugi

nominoPlural mbugi

  • 1

    njuga ndogo zinazofungwa shingoni mwa mnyama k.v. mbwa au miguuni mwa watoto wakati wanapoanza kudema ili kuwatia hamu ya kwenda.

Matamshi

mbugi

/mbugi/