Ufafanuzi wa mbunge katika Kiswahili

mbunge

nominoPlural wabunge

  • 1

    mtu aliyechaguliwa au kuteuliwa au kuingia kwa wadhifa wake ili kuwa mjumbe bungeni.

Matamshi

mbunge

/m bungɛ/