Ufafanuzi wa mbururo katika Kiswahili

mbururo, mburuzo

nominoPlural mibururo

  • 1

    alama inayofanywa na nyoka au kitu chochote kitambaacho au kilichokokotwa ardhini.

Matamshi

mbururo

/m bururɔ/