Ufafanuzi wa mbuya katika Kiswahili

mbuya

nominoPlural mbuya

  • 1

    rafiki wa mtu ambaye mara nyingi wako pamoja.

    mwenzi

Matamshi

mbuya

/mbuja/