Ufafanuzi wa mbuyo katika Kiswahili

mbuyo

nominoPlural mbuyo

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    maarifa ya kuendesha jahazi katika upepo usio wa kawaida.

Matamshi

mbuyo

/mbujɔ/