Ufafanuzi wa mbuyu katika Kiswahili

mbuyu

nominoPlural mibuyu

  • 1

    mti mkubwa mnene sana wenye shina lenye nyuzinyuzi tu, matunda yake hutumika kutia ladha kwenye chakula au kuoshea nywele.

Matamshi

mbuyu

/m buju/