Ufafanuzi msingi wa mbuzi katika Kiswahili

: mbuzi1mbuzi2

mbuzi1

nominoPlural mbuzi

  • 1

    mnyama anayefanana na swala, anayefugwa kwa ajili ya kutoa nyama au maziwa.

Matamshi

mbuzi

/mbuzi/

Ufafanuzi msingi wa mbuzi katika Kiswahili

: mbuzi1mbuzi2

mbuzi2

nominoPlural mbuzi

  • 1

    kibao, agh. chenye kipande cha chuma cha bapa chenye menomeno, kinachotumiwa kukunia nazi.

Matamshi

mbuzi

/mbuzi/