Ufafanuzi wa mbwa katika Kiswahili

mbwa

nominoPlural mbwa

  • 1

    mnyama anayefugwa ambaye husaidia watu kuwinda na kulinda.

    methali ‘Mbwa koko mkali kwao’
    methali ‘Mbwa hafi maji akiona ufuko’
    kelbu

Matamshi

mbwa

/m mbwa/