Ufafanuzi wa mbwabwajo katika Kiswahili

mbwabwajo

nominoPlural mibwabwajo

  • 1

    hali ya kuvuja au kububujika kwa kitu cha majimaji.

Matamshi

mbwabwajo

/m bwabwaʄɔ/