Ufafanuzi wa mbwe katika Kiswahili

mbwe

nominoPlural mbwe

Kidini
  • 1

    Kidini
    vijiwe vidogo lakini vikubwa kuliko gololi ambavyo Waislamu hutumia kuwekea hesabu wakati wa kisomo cha tahalili.

Matamshi

mbwe

/mbwɛ/