Ufafanuzi wa mchachago katika Kiswahili

mchachago

nominoPlural michachago

  • 1

    ufuaji wa nguo kwa kuipigapiga juu ya kitu taratibu au kwa haraka.

    mchanyato

Matamshi

mchachago

/mt∫at∫agɔ/