Ufafanuzi wa mchaguzi katika Kiswahili

mchaguzi

nominoPlural wachaguzi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kupenda kitu fulani na kuchukia kingine.

  • 2

    machagu, mnywanywa

Matamshi

mchaguzi

/mt∫aguzi/