Ufafanuzi wa mchai katika Kiswahili

mchai

nominoPlural michai

  • 1

    mmea unaotoa majani yanayotumiwa kutengeneza kinywaji cha chai.

Matamshi

mchai

/mt∫ai/