Ufafanuzi wa mchakacho katika Kiswahili

mchakacho

nominoPlural michakacho

  • 1

    sauti ya majani makavu inayotokea wakati k.v. yanapokanyagwa.

Matamshi

mchakacho

/mt∫akat∫ɔ/