Ufafanuzi wa mchakato katika Kiswahili

mchakato

nominoPlural michakato

  • 1

    mfululizo wa shughuli unaosababisha kitu fulani kufanyika au lengo fulani kufikiwa.

Matamshi

mchakato

/mt∫akatɔ/