Ufafanuzi wa mchambuzi katika Kiswahili

mchambuzi

nomino

  • 1

    mtu anayesoma maandishi kwa makini na kuyahakiki.

Matamshi

mchambuzi

/mtāˆ«ambuzi/