Ufafanuzi wa mchangamfu katika Kiswahili

mchangamfu

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kufurahi na kuchekacheka na watu.

    mpwamu, mfurufu, mteremezi, mterehemeshi

Matamshi

mchangamfu

/mt∫angamfu/