Ufafanuzi wa mchanganyiko katika Kiswahili

mchanganyiko

nominoPlural michanganyiko

  • 1

    mkusanyiko wa pamoja wa vitu, wanyama au watu wa aina mbalimbali.

    mseto, changamano

Matamshi

mchanganyiko

/mt∫angaɲikɔ/