Ufafanuzi wa mchanjo katika Kiswahili

mchanjo

nominoPlural michanjo

  • 1

    tendo la kukata chale kwenye ngozi; tendo la kupasua kitu k.v. kuni.

Matamshi

mchanjo

/mt∫anʄɔ/