Ufafanuzi wa mchapishaji katika Kiswahili

mchapishaji

nominoPlural wachapishaji

  • 1

    kampuni au shirika linaloshughulika na utoaji wa vitabu na maandishi mbalimbali na kuyauza kwa watu.

Matamshi

mchapishaji

/mt∫api∫aʄi/