Ufafanuzi msingi wa mchapo katika Kiswahili

: mchapo1mchapo2mchapo3

mchapo1

nominoPlural michapo

 • 1

  kitu chembamba laini, agh. kilichotengenezwa k.v. kwa ngozi au miyaa na hutumika kwa kuchapia.

Matamshi

mchapo

/mt∫apɔ/

Ufafanuzi msingi wa mchapo katika Kiswahili

: mchapo1mchapo2mchapo3

mchapo2

nominoPlural michapo

 • 1

  kisa cha kweli au cha kubuni kilichotiwa chumvi ili kuchangamsha.

Matamshi

mchapo

/mt∫apɔ/

Ufafanuzi msingi wa mchapo katika Kiswahili

: mchapo1mchapo2mchapo3

mchapo3

nominoPlural michapo

 • 1

  kifaa cha mti, plastiki au chuma cha kupigia mayai au krimu au kuchanganyia mayai na viungo vingine vya kutengenezea keki.

  kipekecho

Matamshi

mchapo

/mt∫apɔ/