Ufafanuzi wa mcharazo katika Kiswahili

mcharazo

nominoPlural micharazo

  • 1

    tendo la kupiga kitu k.v. kinanda na ngoma kwa mfululizo.

  • 2

    hali ya kusema kwa mfululizo.

Matamshi

mcharazo

/mt∫arakɔ/