Ufafanuzi wa mcheja katika Kiswahili

mcheja

nominoPlural wacheja

  • 1

    baba au mama wa mke au mume.

    mkwe

Matamshi

mcheja

/mt∫ɛʄa/