Ufafanuzi wa mchekecheke katika Kiswahili

mchekecheke

nominoPlural michekecheke

  • 1

    mti wenye majani mapana unaozaa matunda kama ya mkrisimasi ambayo yakikauka na kutikiswa hulia kama kayamba.

Matamshi

mchekecheke

/mt∫ɛkɛt∫ɛkɛ/