Ufafanuzi wa mchemraba katika Kiswahili

mchemraba

nominoPlural michemraba

  • 1

    kitu chenye umbo lenye nyuso sita za mraba.

    dadusawa

Matamshi

mchemraba

/mt∫ɛmraba/