Ufafanuzi wa mchenza katika Kiswahili

mchenza

nominoPlural michenza

  • 1

    mti jamii ya mchungwa wenye majani membamba na matunda madogo yenye maganda laini yanayomenyeka kwa urahisi.

Matamshi

mchenza

/mt∫ɛnza/