Ufafanuzi wa mchepuo katika Kiswahili

mchepuo

nominoPlural michepuo

  • 1

    fani mojawapo katika taaluma inayotolewa shuleni.

    ‘Mchepuo wa biashara’
    ‘Mchepuo wa sayansi’

  • 2

    sehemu barabara zinapoachana.

Matamshi

mchepuo

/mt∫ɛpuwɔ/