Ufafanuzi wa mcheshi katika Kiswahili

mcheshi

nominoPlural wacheshi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kuzungumza na watu na kuwachekesha kwa porojo nzuri.

    damisi, msondani

Matamshi

mcheshi

/mt∫ɛ∫i/