Ufafanuzi wa mchezaji katika Kiswahili

mchezaji

nominoPlural wachezaji

  • 1

    mtu mwenye kushiriki kucheza mchezo fulani.

Matamshi

mchezaji

/mt∫ɛzaʄi/