Definition of mchezo wa vinyoya in Swahili

mchezo wa vinyoya

  • 1

    mchezo wa watu wawili au wanne unaochezwa kwa kupiga kitu kama kifuniko kilichotungishwa vinyoya.