Ufafanuzi wa mchi katika Kiswahili

mchi

nomino

  • 1

    kipande maalumu cha mti kinachotumika kutwangia vitu kwenye kinu.

    mtwangio

Matamshi

mchi

/mt∫i/