Ufafanuzi wa mchinjadamu katika Kiswahili

mchinjadamu

nominoPlural michinjadamu

  • 1

    mgomba ambao shina, mizizi na ndizi zake ni nyekundu.

Matamshi

mchinjadamu

/mt∫injadamu/