Ufafanuzi msingi wa mchinjo katika Kiswahili

: mchinjo1mchinjo2

mchinjo1

nominoPlural michinjo

 • 1

  kitendo au namna ya kuchinja.

Matamshi

mchinjo

/mt∫inʄɔ/

Ufafanuzi msingi wa mchinjo katika Kiswahili

: mchinjo1mchinjo2

mchinjo2

nominoPlural michinjo

 • 1

  kitendo cha kupunguza udongo wa chungu kinapofinyangwa.

 • 2

  mpunjo

 • 3

  suruali inayobana.

Matamshi

mchinjo

/mt∫inʄɔ/