Ufafanuzi wa mchiririko katika Kiswahili

mchiririko

nominoPlural michiririko

  • 1

    mwendo wa polepole wa kiowevu k.v. maji au damu.

Matamshi

mchiririko

/mt∫iririkɔ/