Ufafanuzi wa mchirizi katika Kiswahili

mchirizi

nomino

  • 1

    njia nyembamba ya maji au kitu cha majimaji.

    mfumbi, jimbu, mvo, mlizamu

Matamshi

mchirizi

/mtāˆ«irizi/