Ufafanuzi wa mchirizo katika Kiswahili

mchirizo

nomino

  • 1

    mstari uliopindapinda.

Matamshi

mchirizo

/mt∫irizɔ/