Ufafanuzi wa mchocheo katika Kiswahili

mchocheo

nominoPlural michocheo

  • 1

    kitendo au hali ya kukoleza moto kwa kutia vijinga au kwa kuupepea.

Matamshi

mchocheo

/mt∫ɔt∫ɛwɔ/