Ufafanuzi wa mchochezi katika Kiswahili

mchochezi

nominoPlural wachochezi

  • 1

    mtu anayefitina na kusababisha ugomvi.

    msingiziaji, mathulubu, kitatange, mchonganishi, mpeketevu

Matamshi

mchochezi

/mt∫ɔt∫ɛzi/