Ufafanuzi wa mchochoni katika Kiswahili

mchochoni

nomino

  • 1

    mmea wa jamii ya uwanga pori na ndiga wenye mizizi ya kinundu, unaoliwa baada ya kuondoa sumu iliyomo katika mizizi hiyo.

Matamshi

mchochoni

/mt∫ɔt∫ɔni/