Ufafanuzi wa mchongaji katika Kiswahili

mchongaji

nominoPlural wachongaji

  • 1

    mtu anayetumia vifaa k.v. panga, kisu, shoka, tezo, n.k. kuchongea vifaa kutokana na miti, mawe, n.k..

Matamshi

mchongaji

/mt∫ɔngaʄi/